Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Askari Polisi ‘wanaowaua’ majambazi wasishtakiwe- Rais Magufuli

Saturday 22-12-2018 09:00:02am Swahili Times


Rais Dkt John Pombe Magufuli ametaka Askari wa Jeshi la Polisi nchini kutoshtakiwa kwa kuwaua majambazi pale wanapokuwa wanatekeleza wajibu wao, hasa kumbapambana na wahalifu hao. Hayo aliyasema jana Disemba 21 wakati wa sherehe za kufunga mafunzo kwa askari wa jeshi hilo katika Chuo cha Taaluma za Polisi, Kurasini jijini Dar es Salaam, huku akiahidi kuwa nao bega kwa bega kwani wanafanya kazi kubwa ya kuimarisha usalama wa nchi. Rais Magufuli aliongeza kuwa wakati mwingine askari hao waliojitolea maisha yao wamekuwa wakishtakiwa kwa makosa ambayo hawajayafanya hasa pale jambazi anapojiua mwenyewe wakati wa majibizano ya risasi au kwa namna nyingine. Kwa . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E