🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 01-08-2018 09:00:01am Bongo5
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema chama kikuu cha African National Congress kinatarajia kuanzisha mchakato bungeni wa kuimarisha marekebisho ya Katiba yaliyopendekezwa, kutengeneza njia kwa ajili ya kunyakua ardhi bila malipo iliyokuwa inamilikiwa na watu weupe. Ramaphosa, ambaye ameahidi kurudisha ardhi hiyo kutoka kwa wakulima weupe tangu miaka ya 1600 hadi idadi ya watu …The post Ardhi ya watu weupe kurudi mikononi mwa Serikali Afrika ya Kusini appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E