🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 15-07-2019 09:00:03am Bongo5
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamsaka kijana, Daudi Bundala kwa tuhuma za kumshambulia hadi kumuua dada yake, Suzana Bundala (21), Kwa kumpiga na kitu kizito kichwani, baada ya kumkuta akiwa amelala na mpenzi wake nyumbani kwao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao, amesema limetokea Ijumaa ya wiki iliyopita …The post Amuua dada yake kisa wivu wa mapenzi, Jeshi la polisi latangaza kumsaka kwa udi na uvumba appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E