Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Aliyoyasema Rais Dkt Magufuli katika siku ya kuzaliwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Tuesday 13-11-2018 09:00:02am Swahili Times


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa kwa mchango wake mkubwa alioutoa wakati wa uongozi wake. Mhe. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo katika Misa Takatifu ya Shukrani ya Uhai kwa Rais Mstaafu Mkapa ambaye tarehe 12 Novemba, 2018 ametimiza miaka 80 tangu kuzaliwa iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Upanga Jijini Dar es Salaam na kuongozwa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Mhe. Rais Magufuli amesema wakati akiwa madarakani Rais Mstaafu Mkapa amefanya mambo mengi na muhimu kwa Taifa na amebainisha kuwa Watanzania wataendelea kumkumbuka . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E