🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 21-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa muziki nchini, Alikiba amesema kuwa mwendo wa muziki wa Bongo Flava umepungua kasi siku za hivi karibuni kutokana na kukosekana kwa tuzo ambazo zilikuwa zikichangia sana kuhamasisha Watanzania. Alikiba anayetamba na kibao chake cha Mvumo wa Radi ameyasema hayo katika mahojiano na Azam Tv mwezi huu wa Agosti kupitia kipindi cha Nyundo ya Baruan. …The post Alikiba amesema kuwa muziki wa Bongo Flava umepungua kasi ‘Kuna watu wanaharibu muziki’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E