🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 07-11-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amemjibu Diamond Platnumz kuhusu maombi yake ya kumuomba atumbuize kwenye tamasha la Wasafi Festival. Alikiba kupitia ukurasa wake wa Instagram, Alikiba amesema kuwa kwa sasa yupo bize kusambaza bidhaa za Mo Faya katika nchi mbalimbali, hivyo hatoshiriki kwenye tamasha hilo, lakini yupo tayari kuwa mdhamini wa Wasafi Festival …The post Alikiba ajibu ombi la Diamond Platnumz ‘nipo tayari kudhamini Wasafi Festival kupitia Mofaya’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E