🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 11-06-2019 09:00:03pm Bongo5
Mlindalango namba moja nchini Tanzania, Aishi Manula ameamua kuongeza kandarasi ya kuendelea kuitumikia miamba ya soka nchini Simba SC. Manula ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa nchini na wawakilishi wa Taifa, ambao wanatarajia kushiriki tena michuano mbalimbali ya kimataifa. Huyu ni mchezaji wa pili ndani ya wiki hii kuongeza mkataba baada …The post Aishi Manula amalizana na Simba SC, afuata nyayo za John Bocco appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E