Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Aguero aichakaza Chelsea, Man City wakitwaa ubingwa wa ngao ya hisani mwaka 2018 nchini Uingereza

Sunday 05-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Klabu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa ngao ya hisani kwa mwaka 2018 kwa kuitwanga Chelsea goli 2-0 katika mchezo ambao ulikuwa umehudhuriwa na mashabiki wachache zaidi kunako dimba la Wembley. Magoli yote mawili ya Manchester City yamefungwa na Sergio Kun Aguero kunako dakika ya 13 kipindi cha kwanza na dakika ya 58.The post Aguero aichakaza Chelsea, Man City wakitwaa ubingwa wa ngao ya hisani mwaka 2018 nchini Uingereza appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E