Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Achana na Man United, Paul Pogba sasa aipasua bodi ya Barcelona

Tuesday 02-10-2018 09:00:02am Bongo5


Bodi ya miamba ya soka nchini Hispania Barcelona imegawanyika juu ya maamuzi ya kuendelea na mchakato wa kutaka kumsajili kiungo wa Manchester United, Paul Pogba kunako dirisha lijalo la usajili mwezi Januari ama kuachana na swala hilo kikubwa ikionekana ni kiwango cha fedha kinachohitajika na mashetani hao wekundu. Pogba ni miongoni mwa wachezaji watatu wanaowindwa …The post Achana na Man United, Paul Pogba sasa aipasua bodi ya Barcelona appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E